Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
↑ ↓ navigate ↵ open
See all results →
Kanuni Za Kikristo

Kanuni Za Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Loading course text…
Course search is unavailable right now.

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 3: Utatu wa Mungu

12 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi ataweza kueleza:

  • Jinsi ulimwengu ni kielelezo cha asili ya Utatu wa Mungu.

  • Msingi wa kibiblia wa kanuni ya Utatu wa Mungu.

  • Kwa nini kanuni ya Utatu wa Mungu ni msingi wa injili.

  • Mfumo wa mahusiano ndani ya Utatu wa Mungu.

  • Jinsi Utatu wa Mungu unatoa kielelezo cha mahusiano kati ya wanadamu.

  • Jinsi imani yetu katika Utatu wa Mungu inavyoongoza ibada yetu.

  • Kauli ya kanuni za Kikristo kuhusu Utatu wa Mungu.

(2) Mwanafunzi ataepuka makosa ya kawaida ambayo watu wamefanya katika kujaribu kueleza Utatu wa Mungu.