Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
↑ ↓ navigate ↵ open
See all results →
Kanuni Za Kikristo

Kanuni Za Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Loading course text…
Course search is unavailable right now.

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 8: Wokovu

14 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi ataweza kueleza:

  • Kwa nini msalaba ni chukizo kwa watu wengi.

  • Hali ya mwenye dhambi.

  • Umuhimu wa upatanisho kwa ajili ya msamaha.

  • Maana ya toba.

  • Vipengele vya imani inayookoa.

  • Kwa nini upatanisho unatosha kwa watu wote na dhambi zote.

  • Msingi wa uhakikisho wa kibinafsi wa wokovu.

  • Ukombozi wa uumbaji kwa ujumla.

  • Kauli ya kanuni za Kikristo kuhusu wokovu.

(2) Mwanafunzi ataelewa kosa la dini bila toba.