Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
↑ ↓ navigate ↵ open
See all results →
Kanuni Za Kikristo

Kanuni Za Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Loading course text…
Course search is unavailable right now.

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 4: Ubinadamu

11 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi ataweza kueleza:

  • Jinsi tunavyojua kwamba mfano wa Mungu katika ubinadamu si mfano wa kimwili.

  • Sifa nane za mfano wa Mungu katika ubinadamu.

  • Kwamba watu wameumbwa kimahususi kwa ajili ya kuwa katika uhusiano na Mungu.

  • Maana ya jinsi watu wana uhuru wa kuchagua.

  • Kwamba watu wana thamani isiyo na kipimo zaidi ya thamani yao ya kiutendaji katika maisha ya kidunia.

  • Kauli ya kanuni za Kikristo kuhusu ubinadamu.

(2) Mwanafunzi ataelewa kwamba hawezi kuridhika akiwa mtu asiye na uhusiano na Mungu.