Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
↑ ↓ navigate ↵ open
See all results →
Kanuni Za Kikristo

Kanuni Za Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Loading course text…
Course search is unavailable right now.

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 9: Masuala ya Wokovu

16 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi ataweza kueleza:

  • Fursa na umuhimu wa ushindi wa muumini dhidi ya dhambi.

  • Neema ambayo Mungu hutoa kwa ajili ya kuishi kwa ushindi.

  • Maisha ya kiroho yanayotokana na uhusiano na Kristo.

  • Maonyo ya kimaandiko kuhusu kuanguka kutoka katika neema.

  • Kauli ya kanuni za Kikristo kuhusu masuala mahususi ya wokovu.

(2) Mwanafunzi atakuwa na matarajio makubwa ya kuishi katika ushindi dhidi ya dhambi.